M Mangungo wa mwibara Member Joined Feb 22, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Apr 22, 2019 #1 Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, ulaji mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana
Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, ulaji mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Apr 22, 2019 #2 Spea zitakuwepo tu mkuu na uzuri gari nyingi za mjapani zinaingiliana baadhi ya spea