M Mangungo wa mwibara Member Joined Feb 22, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Apr 22, 2019 #1 Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, matumizi ya mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana
Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, matumizi ya mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana