Ushauri juu ya ufugaji kuku wa kienyeji arusha

the-true-wash

Senior Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
142
Reaction score
109
Nia yangu ni kununua kiwanja nje kidogo ya mji huu wa Arusha.. Sina mpango wa kukiendeleza hivi karibuni ila ninafikiria kukizungushia uzio wa senyenge halafu nijenge mabanda ili nifuge kuku wa kienyeji...
Je kwa hali ya hewa ya Arusha kuku hawa watastahimili? Je kuna changamoto gani mji huu hasa upande wa ufugaji wa hawa viumbe?
Kuzungushia uzio ni wazo zuri? Maana hawa ni wazururaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…