FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Wakuu,Heshima kwenu nyote.
Kwanza kabisa nishukuru kwa namna mnatoa madini katika jukwaa hili la ujenzi Kila siku.Hii inatia hamasa kwa mtu anaetamani kujenga.
Leo nilienda kutembelea sehemu wanapouza Tofali na Bei zimekaa kama ifuatavyo.
1.Ratio ya Tofali 40 -1200 kwa Tofali.
2.Ratio ya tofali 45- ni Tsh 1000
3.Ratio ya tofali 50 ni Tsh 900.
Sasa naombeni ushauri je nitakuwa salama nikinunua hizo za ratio ya tofali 50 kwa mfuko?.
Maana bajeti inabana kwa hyo namba 1.Uhitaji ni tofali 3000/
Naomba kuwasilisha