FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Aisee si mchezo.Sema na Bei imechangamka si kitoto. 1200Ratio nzur ni kuuanzia 35 mpaka 40 huko kwingine hakuna matofari ni profit oliented
Upande huo Kuna udongo mzuri Sana wa tofali za kuchoma.Kwa nini usi opt za kuchoma Ili upate ubora na kuokoa gharama?Kuna Sehem huku mwisho wa tz magharibi tofari ya block ni 1800[emoji22][emoji22]. Mpaka nawaza nifyatue mwenyew kwa zile mashine manually? Daah . Na hapo hakuna uwazi katika ratio
Mkuu, gharama za finishing nahisi zitakuwa juu Sanaa kwenye tofari za kuchoma, coz huku magharibi vifaa vya ujenzi vipo juu Sanaa. [emoji848][emoji848]Upande huo Kuna udongo mzuri Sana wa tofali za kuchoma.Kwa nini usi opt za kuchoma Ili upate ubora na kuokoa gharama?
oliented?? Ni neno la nchi gan hili?'Kweli nchi hii tuna shida!!!Ratio nzur ni kuuanzia 35 mpaka 40 huko kwingine hakuna matofari ni profit oliented
Oliented?? ni nini? Hizo ?? ni za nchi gani?oliented?? Ni neno la nchi gan hili?'Kweli nchi hii tuna shida!!!
Ni shida tupu,Bora mawe ni cheap kuliko blocks.Kuna Sehem huku mwisho wa tz magharibi tofari ya block ni 1800[emoji22][emoji22]. Mpaka nawaza nifyatue mwenyew kwa zile mashine manually? Daah . Na hapo hakuna uwazi katika ratio
Jamani na mimi nauliza kuna mtu yoyote ameweza kufikiria kujenga nyumba ya mbao au kuna shida yoyote kujenga nyumba ya mbao kwa TZ.Wakuu,Heshima kwenu nyote.
Kwanza kabisa nishukuru kwa namna mnatoa madini katika jukwaa hili la ujenzi Kila siku.Hii inatia hamasa kwa mtu anaetamani kujenga.
Leo nilienda kutembelea sehemu wanapouza Tofali na Bei zimekaa kama ifuatavyo.
1.Ratio ya Tofali 40 -1200 kwa Tofali.
2.Ratio ya tofali 45- ni Tsh 1000
3.Ratio ya tofali 50 ni Tsh 900.
Sasa naombeni ushauri je nitakuwa salama nikinunua hizo za ratio ya tofali 50 kwa mfuko?.
Maana bajeti inabana kwa hyo namba 1.Uhitaji ni tofali 3000/
Naomba kuwasilisha