Brother Hemedi
Member
- Jun 21, 2016
- 19
- 37
Nataka kununua gari ka kutembelea,Toyota RAV 4 L (5 Doors).
Vipi kuhusu changamoto zake,maana kuna mtu amenitonya kuwa RAV 4 L haziwezi safari za muda mrefu e.g[Dar to Mtwara or Dar to Iringa.] MSAADA TAFADHALI.