Ushauri: Kaka angu anateseka.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Machalii wa humu Eroo Suphai, Ma mamiloo Takwenyaa,,

Okay ngoja nichumpe mokomoko kwenye point, Nna kaka angu nnaemfata kabisa yeye ni wa pili kutoka mwisho kuzaliwa uku mimi nikiwa ndo wa mwisho....

Huyu broo ana mke ambae kamuoa mwaka jana tu apa mwezi kama wa9 ivi... Mkewe ni mpare wa Same Kilimanjaro, Sasa wengeree ni pale wanakwazana na kuzinguana, Mke wake huwa anamshurutisha broo ampe moneygram ya usafiri wa kaka zake watatu ambao wapo Same Kilimanjaro na kuja Arusha Kumdunda Brother,,

Wakishampa kifinyo brother wanamuomba tena moneygram ya nauli kurudi Same..Bro alikua anaomba ushauri wenu wadau au ahame Chuga tu kuepuka usumbufu?? #Wanaume tunapungua kwa kasi ya Supersonic Duniani.

@ChaliiYaKijengeJuu
 
Aisee nmesoma jpo kwa shida maana huo mstatili hataaari,kifup hlo sio la kushauriwa kama akili yake itashindwa kulitatua hilo,tutegemee siku moja ataomba ushauri kama akanyee au laa maana kabanwa na gogo(nakutania jombaa),mwambie achague haya matatu la kwanza awe na huyo mke ila aonye hyo tabia ikome,pili amuache maana inaonekana hajafunzwa vyema kwao(kaka ako nae ni fala kwa mkewe),la tatu ni none of above yaani ya ndan ayatatue kama mwanamme na sio mwenye uume
 
Me sjaelewa, kua wanamuomba nauli halaf wanakuja mpiga au ni vipi
Ok sawa..
ni hiviii..
Mkewe anamuombaga
Hela ya nauli
anawatumia
kaka zake
watatu waje
kumpiga
bro..wakishapiga
wanaomba tena
nauli ya kurudia
kwao
 
Me kuanzia mwanzo nimekuelew vzr sana ila ulipofka hapa ase umeniacha kwenye mataa kabisa "huwa anamshurutisha
broo ampe moneygram
ya usafiri wa kaka
zake watatu na mke
wa bro ambao
wapo Same Kilimanjaro
na kuja Arusha Kumdunda
Brother,,"

LABDA WENGINE MMEELEWA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…