Ushauri: Kaka angu anateseka.

Huu ni ujinga mwanamke kupiga sim kwao nduguze waje mpuga mumewe si akili za kawaida ni ujinga halaf mume naye baada ya kupigwa anatoa nauli mashemeji warudi hahahahahahhaha nahisi hii habari haina ukweli
Chai hii ina pili pili[emoji13][emoji13][emoji13]inawasha kweli kweli...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia kusoma
chaliangu..
nimeiweka
vizuri.
 
kama bro anaweza atemane naye..! Na nyie mnakua wapi mnaona kaka yenu anaitiwa mashemeji wanamdunda, then nyie mnacheka tu..!
 
kama bro anaweza atemane naye..! Na nyie mnakua wapi mnaona kaka yenu anaitiwa mashemeji wanamdunda, then nyie mnacheka tu..!
Sisi tuko
uku Kijenge juu,,
yeye yupo
Sakina,,
alaf istoshe
tulikua hatujui
ndo kaamua
kumuelezea
Bi-Mkubwa
jana..
 
Mwambia aache ujinga. Yaani atume nauli ili watu waje kumdunda. Hata kama anampenda mkewe. Lazima asimame kama mwanaume.
Mwanaume halisi hawez ruhusu mke akampandia kichwan namna hiyo.

Next amwambie huyo kama vip asepe. Asimletee jam kwenye maisha.
Wanawake wa kipare.. wanamatatizo sana (sio wote)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamaa unaandikaje kama shairi [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Kaka yako kaoa au kaolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…