Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!