Kuna ile hotel ya nyota nane ya nssf pale capri point bora wapewe twiga linatunyonya wachangiaji wa nssf, wawape hata bure walimalizie tuepukane a huo mzigo.Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwq vyema wangejenga jengo LA kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
Hahaha, haya ma miradi kwa kweli, yametuletea Shida sana wana chama, ndio maana imekuwa Shida tupu malipo yetu!Kuna ile hotel ya nyota nane ya nssf pale capri point bora wapewe twiga linatunyonya wachangiaji wa nssf, wawape hata bure walimalizie tuepukane a huo mzigo.
Ndio maana nimetumia neno ushauri!!
Kwani dhahabu ndiyo madini pekee?Ndio maana nimetumia neno ushauri!!
Hueleweki unachoongea kukodi ni kuzuri zaidi kunaongeza mzunguko wa pesa za Kodi ya pango nk na hupunguza gharama za uendeshaji hivyo faida kuwa kubwa zaidi.Ndio maana wahindi huwa hawataki kujenga nyumba zao wanapenda kupanga National Housing sababu gharama ya ujenzi yaweza kula mtaji wako wote ukashindwa kufanya biasharaSerikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
Akili za wanaccm bwana! Kwahiyo wakishafanya hivyo itakuwaje?Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
Tuombe samahani.mimi CCM na sikubaliani na alichoandikaAkili za wanaccm bwana! Kwahiyo wakishafanya hivyo itakuwaje?
Opposite na chuo cha BOT ndo hiyo hoteli ya nssf...Mbona ipo wazi ila jengo halitajengwa watakodi lile jengo la mfuko wa jamii hapo oposite na chuo cha B.O.T
Dada wanaweza wakajenga na baadhi ya rooms zikatumika kukodi kwa watu wengineHueleweki unachoongea kukodi ni kuzuri zaidi kunaongeza mzunguko wa pesa za Kodi ya pango nk na hupunguza gharama za uendeshaji hivyo faida kuwa kubwa zaidi.Ndio maana wahindi huwa hawataki kujenga nyumba zao wanapenda kupanga National Housing sababu gharama ya ujenzi yaweza kula mtaji wako wote ukashindwa kufanya biashara
Makampuni mengi ya wawekezaji hupenda kupangisha kuliko kujenga
Hiyo kitu inaitwa CBA yaani Cost Benefit Analyisis naona huijui vizuri
Majengo mengi kwa Sasa hayana wapangaji wewe unataka mengine yajengwe Tena!!!!! Hayo yaliyopo tu mengi matupuDada wanaweza wakajenga na baadhi ya rooms zikatumika kukodi kwa watu wengine
Na zilizo tupu nazo zitapata watuMajengo mengi kwa Sasa hayana wapangaji wewe unataka mengine yajengwe Tena!!!!! Hayo yaliyopo tu mengi matupu
Na basi jengo liitwe "Gold House"! au "Nyumba ya Dhahabu"; hiyo ya pili inapendeza zaidi.Kwani dhahabu ndiyo madini pekee?
Waambie wizara ya madini ndiyo wajenge kwani wao ndiyo wahusika wa madini yote nchini!
sasa hivi kwa nini hazipatiNa zilizo tupu nazo zitapata watu
Ndo zimejengwasasa hivi kwa nini hazipati