Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Hello wanaMMU
Naombeni tumshauri huyu dada. Tumpe jina Binti mateleshamsi. Mume aitwe Bakahehe. Mateleshamsi kaolewa na ndoa ina miaka kadhaa. Ndoa imebarikiwa kuwa na watoto pia...
Kwa muda sasa kumekuwa na misuguano na mwanamke huyu amekuwa akiomba kwa Mungu chinichini akiamini mambo yatakua sawa. Lakini yamemfika kunako kalileta kwa jamii. Dada huyu anahitaji ushauri..(mind you ni mtu mwenye imani na kuomba sana)
Binti Mateleshamsi kaambiwa na bakahehe iviii nanukuu... Kuanzia leo pesa yote utakayopata ntamiliki mimi. Kuanzia leo documents zote za nyumba na gari unayomiliki utaandika majina yangu. Kuanzia leo sitaki unifatilie. Nikikuaga hata niwe naenda kwa mchepuko usiku na ujue sitaki uniulize kitu. Nikirudi sitaki uguse changu chochote sitaki kupekuliwa. Nikikuaga nasafiri sitak uniulize naenda wapi. Mwisho wa kunukuu.
Wale watumishi wote mnaocomentigi kwenye nyuzi naomba wawe tagged humu watoe majibu. Dada, binti, mama huyu afanyeje...binti mateleshamsi anasubiri majibu yenu. Bakahehe ni balaaa...