mabadilikosasa
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 379
- 85
Kwa ushauri wangu wabunge wasipoteze muda sana kuchagua kati ya siri na wazi. Kanuni ziruhusu kwa wale wanaotaka kupiga kura wazi waruhusiwe, na wale wanaotaka kupiga kwa siri waruhusiwe. Lakini kanuni ziseme kuwa asiwepo mtu yeyote au chama kulazimisha mtu mwingine, na iwe ni uamuzi binafsi.