Habari ya leo Wakuu, katika kutaka kuongeza ujuzi na wigo katika elimu naomba kupata maoni kwa wale wataalamu.
Je kati ya Diploma in Disaster Management na Diploma in Monitoring and Evaluation ipi ina ushawishi zaidi kwenye kumsaidi mtu kwenye majukumu ya kila siku na pia kwenye kumuongezea sifa ya kupata ajira hasa sekta binafsi. Asante