Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna gari ya wazee mkuu
Hujawahi kutana na mzee anaendesha passo?.. au mwanamke anaendesha landcruiser?..Huwez kuta mzee anaendesha Alteza au Subaru labda awe na walakin Kijana
Mjibu mwenzio kwa swali alilokuuliza.Hujawahi kutana na mzee anaendesha passo?.. au mwanamke anaendesha landcruiser?..
Rx ni 1300cc ila ni rotary engine inakula 1L kwa 6kmRx8 ni proper sports car, lakini hakiko very practical. Ndani kuna nafasi kidogo, hasa back seats. Atlezza na Legacy zinakaribiana saana. Binafsi napenda muonekane wa Altezza, ila Legacy iko vizuri zaidi na ina options nyingi kutoka kiwandani. Unaweza pata ambayo ni turbocharged, hasa ukienda legacy B4 kama unataka performance.
Comfortability kwenye sports cars, ni ndogo. Allion na Premio ziko comfortable sana kuliko hizo gari. Pia performance comes with fuel consumption. Rx8 ni much better kwenye hilo, Altezza na Legacy zinakaribiana. Lita 1 km 6-11 kutegemea na mazingira na uendeshaji wako.
How comes. Rotary engines zipoje?Rx ni 1300cc ila ni rotary engine inakula 1L kwa 6km
Jiheshimu bc kama ww huna uwezo nibora ukae kimya
Kwani kuna mtu ameuliza maswala ya baiskel ktk huu uzi mzee kama huna chakuchangia au uzoefu na kitukinachoitajika kaa kimya si lazima kuchangia