Ushauri kati ya kozi ya Public Health na Health System Management

Ushauri kati ya kozi ya Public Health na Health System Management

Fernanda

Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
76
Reaction score
80
Habar ya kazi wakuu, nahitaji kusoma masters. Naomba mwenye uelewa wa hizi kozi ipi ni nzuri zaidi na ni Vyuo gani hutoa hizi kozi.

Asanteni
 
Nilikuwa nimeshikwa na kigugumizi, nikidhani ni undergraduate.
Kama ni masters go for public health,
Ivi kwa nini wanasema hiyo kozi MPH ndo nzuri ?fursa zake Ni zipi? Na je kwa mtu asie na shahada ya afya undergraduate Yani Ana shahada ya sayansi na elimu katika masomo ya kemia na biology je anaweza kusoma kozi hiyo? Na je shughuli anaweza kufanya kupitia kozi hiyo Ni zipi? Naombeni msaada juu ya hilo?
 
Back
Top Bottom