ushauri : kati ya MAXMALIPO NA PAYPOINT(cell com)

ushauri : kati ya MAXMALIPO NA PAYPOINT(cell com)

enhance

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
449
Reaction score
176
Habari za jioni! husika na kichwa cha somo!!

Wenye uzoefu tafadhali naomba kujua ni ipi nzuri,

Nikimaanisha network pamoja na comission zikoje!

nakaribisha maoni na ushauri pia!
W/end njema wapendwa!!
 
Back
Top Bottom