Ushauri, kati ya NISSAN LAFESTA na HONDA CR-V ipi nzuri?

Ushauri, kati ya NISSAN LAFESTA na HONDA CR-V ipi nzuri?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Naomba ushauri ili mwenzenu nami niwe na usafiri, nimejikusanya sana kwa miaka saba sasa. Ila sina utalam wa magari.
Mwenye kujua anisaidie. Pamoja na utaalam nisaidieni pia nataka kujua.
1. Ulaji wa mafuta.
2. Upatikanaji wa spare parts.
3. Uimara wa injini.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Dah hapo hakuna hata moja inayokufaa kwa sababu zote ni umiza kichwa tu.
 
Angalia kama kuna uwezekano tafuta corolla.... n gari ambayo spare zake n rahisi n hata mafuta utafurahii.....gari z kimaskini.....
 
Tatizo kubwa spare parts ni gharama kwa upande wa Nissan, Honda sio imara sana.
 
Naomba ushauri ili mwenzenu nami niwe na usafiri, nimejikusanya sana kwa miaka saba sasa. Ila sina utalam wa magari.
Mwenye kujua anisaidie. Pamoja na utaalam nisaidieni pia nataka kujua.
1. Ulaji wa mafuta.
2. Upatikanaji wa spare parts.
3. Uimara wa injini.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Chukua Honda CRV hutojuta!!
 
Back
Top Bottom