Chukua Honda CRV hutojuta!!Naomba ushauri ili mwenzenu nami niwe na usafiri, nimejikusanya sana kwa miaka saba sasa. Ila sina utalam wa magari.
Mwenye kujua anisaidie. Pamoja na utaalam nisaidieni pia nataka kujua.
1. Ulaji wa mafuta.
2. Upatikanaji wa spare parts.
3. Uimara wa injini.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.