Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri kuhusu hizi gari ni ipi bora kati ya hizo interms of durability, uimara na fuel consumption nataka nichukue moja kwa ajili ya mizunguko yangu ya hapa mjini na mizunguko yangu ya mikoani..
Ushauri kuhusu hizi gari ni ipi bora kati ya hizo interms of durability, uimara na fuel consumption nataka nichukue moja kwa ajili ya mizunguko yangu ya hapa mjini na mizunguko yangu ya mikoani..
Cha msingi ni badget yako mimi faza anayo hilux 2.4 double cab iko vizur na vipuri vyake havina bei caz toyota vifaa vyake vinaingizwa sana nchini, l200 inatoweka sana halafu chache caz mi naishi karibu na road sijaziona mitsb l200 kitambo na spare zake kipusa, ford rangers wapo juu na spare mda mwengine za kuagiza ila navara kidooogo wanafanana na hilux ila mi nawakubali sana toyota hilux hasa vigo d4-d caz napenda sana mfumo wa common rail.
Ila nimejatibu kuulizia kwa mafundi hapa wengi wanapendekeza hilux sababu ya uimara na upatikanaji wa vipuri ni rahisi zaidi ukilinganisha na wengine..