leons de silves
Member
- Mar 1, 2025
- 23
- 31
Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC)
Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024.
Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer)
Katika pande zifuatazo ambazo zitanipa opportunities za kujifunza na kujikimu kwa kiasi kidogo.
1. Mjini au kijijini?
2.Zahanati au kituo cha afya ( health center)?
3. Na pia katika jambo zina la populations (clients)?
MAWAZO YENU NI MCHANGO MKUBWA KWANGU.
ASANTENI KWA ATTENTION YENU. NASUBILI MREJESHO.
WhatsApp no 0692193840
Naishi Nyamagana Mwanza