Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa Serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..
Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.
Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?
Je sheria inaruhusu kuliuza?