Asante sana.Swala la exemption huwa kuna asilimia kadhaa lazima zilipwe, unauwezo wa kuliuza ndio ila kama tu mtaelewana na mteja wako kuhusu hilo deni lililobakia.
Hamna kitu kama hicho mkuu, kuwa na amani, ukipata mteja muelewa unamuuzia vizuri tu.Asante sana.
Kuna mtu kanitisha kuwa ni kodi yote ulitosamehewa pamoja na gharama ya ziada sababu gari ni ya zamani.
Anasema ni bora ulipaki home kuliko kuliuza.
Hajakuongopea ndio ukweli, huyo mnunuaji mpya atakapotaka ajimilikishe lisome JINA lakeAsante sana.
Kuna mtu kanitisha kuwa ni kodi yote ulitosamehewa pamoja na gharama ya ziada sababu gari ni ya zamani.
Anasema ni bora ulipaki home kuliko kuliuza.
Ulipata msamaha wa Serikali? Basi hilo unaliuza vizuri tu bila changamoto yoyoteNilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..
Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.
Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?
Je sheria inaruhusu kuliuza?
Mkuu shida itajitokeza kwa mnunuzi atakapokwenda kufanya transfer kuja jina lake.Ulipata msamaha wa serikali? Basi ilo unaliuza vizuri tu bila changamoto yoyote
Huyo jamaa alikwambia kweli.Asante sana.
Kuna mtu kanitisha kuwa ni kodi yote ulitosamehewa pamoja na gharama ya ziada sababu gari ni ya zamani.
Anasema ni bora ulipaki home kuliko kuliuza.
Ndio hilo nilikiuwa nataka kujua.Mkuu shida itajitokeza kwa mnunuzi atakapokwenda kufanya transfer kuja jina lake.
Atakuta kodi inamsubiria hakuna namna
Hapana huwa wanafanya tathmini mpyaNdio hilo nilkiuwa nataka kujua kujua.
BAada ya zaidi ya miaka 13 unalipa kodi ile ile ya 2008 au zaidi au pungufu?
Kuna watu wanasemq ukutaka kufanya transfer gari ya 2008 kodi inaongezeka sababu ya uchakavu wa gari
Niliwahi kufanya manunuzi ya gari lililosamehewa kodi nikaja kuliuza mwaka 2017 bila changamoto yoyoteMkuu shida itajitokeza kwa mnunuzi atakapokwenda kufanya transfer kuja jina lake.
Atakuta kodi inamsubiria hakuna namna
Niliwahi kufanya manunuzi ya gari lililosamehewa kodi nikaja kuliuza mwaka 2017 bila changamoto yoyote
Ni gari gani mkuu? Na uliingiza mwaka gani?Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..
Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.
Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?
Je sheria inaruhusu kuliuza?
Gari aina gani mkuuKama unaitaka njoo inbox.
Kitu bado kipo poa kabisa mkuu sema tatizo ni hiyo trabsfer feee