kadyuwegeyeson
Member
- Jul 19, 2018
- 35
- 48
Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yataota machache sana, subiri mvua inyesha udongo uwe na unyevu wa kutosha ndo upande.Hyo dap utaweka baada ya Hindi kuonekana Kama na majani 2 hivi , ukiweka kabla ya Hindi kuota mbolea haitafanya kaz vizuri.Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??