Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??
Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??
Yataota machache sana, subiri mvua inyesha udongo uwe na unyevu wa kutosha ndo upande.Hyo dap utaweka baada ya Hindi kuonekana Kama na majani 2 hivi , ukiweka kabla ya Hindi kuota mbolea haitafanya kaz vizuri.
Mkuu hiyo mbegu inahitaji maji ya kutosha. Usifanye unachotaka wewe pata utaalamu wa kilimo kujua ni mbegu gani inafanya vizuri eneo ulilopo ufanye kitu chenye uhakika.