Ushauri: Kozi gani za options za Sheria ni nzuri kusoma (Optional Courses)?

Ushauri: Kozi gani za options za Sheria ni nzuri kusoma (Optional Courses)?

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
5,570
Reaction score
10,517
Habari

Naomba ushauri, nataka kujua kozi nzuri za "options" kwenye Shahada ya Kwanza ya Sheria

Ningependa kujua kozi ambazo ni applicable zaidi na ambazo zina mahitaji makubwa sokoni

Natanguliza shukurani
 
Ngoja waje kwanza wanasheria nguli...

ila kasome kwanza hiyo shahada uimalize vingine utakuta mbele kwa mbele
 
1. Intellectual Property law
2. Insurance law
3. International trade law
4. Marine and high sea law.

Ukikutana na yoyote hapo HAKIKISHA unasoma hata kama utaona ni nyingi kwa semester, hakikidha unasoma.
 
Habari

Naomba ushauri, nataka kujua kozi nzuri za "options" kwenye Shahada ya Kwanza ya Sheria

Ningependa kujua kozi ambazo ni applicable zaidi na ambazo zina mahitaji makubwa sokoni

Natanguliza shukurani
Ungeeka izo options mlizo pewa ili upewe ushauri. Kozi za jalalani ni tofauti na mzumbe na ni tofauti udom
 
Ungeeka izo options mlizo pewa ili upewe ushauri. Kozi za jalalani ni tofauti na mzumbe na ni tofauti udom
Commercial Law
Tax Law
Intellectual Property Law
International Criminal Law
Information Technology Law
Human Rights Law
Banking Law
Insolvency and Bankruptcy
Criminology and Penology
Environmental Law
Legal Aspects of International Trade and Investment

Hizo ndio kozi za kuchagua zilizopo
 
Intellectual property law
Human Rights Law

chagua moja wapo hapo,ila imekuwaje hamjasoma tax law kama core subject
 
Commercial Law
Tax Law
Intellectual Property Law
International Criminal Law
Information Technology Law
Human Rights Law
Banking Law
Insolvency and Bankruptcy
Criminology and Penology
Environmental Law
Legal Aspects of International Trade and Investment

Hizo ndio kozi za kuchagua zilizopo
Wakuu naendelea kupokea ushauri
 
Back
Top Bottom