Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Kama unao wito wa kweli kutoka kwa Mungu utashauriwa na Mungu mwenyewe kupitia Roho Mtakatifu na sio wanadamu. Kifupi tu ni kwamba unataka kujitafutia riziki yako kupitia shida za watu.wakubwa,nimetafakari kuanzisha huduma ya kiroho kama ile ya mwammposa ya kuondoa matatizo ya watu kupitia ukanyagaji na upakaji wa mafuta lakini sijui nianzie wapi
Kwahiyo kwa mwenye uelewa kuhusu hizi huduma tafadhari nijulishe natakiwa nifanye nini ili na mimi huduma yangu ifanikiwe
Na labda niwe muwazi kabisa kuwa sikusudii kuanzisha hii huduma kwa lengo la kupata utajiri bali kwa nia safi kabisa ya kuwasaidia watu wenye matatizo hasa ya kiuchumi na kimahusiano ambao wanaonekana wako radhi hata kukanyagana ili wayapate mafuta ya kuwaondolea shida zao
Ni kweli mkuu sina wito kabisa wa kuwa mchungaji lakini nimesikitika sana kuona watu ishirini wakifa kwa mkupuo eti kisa kuwaiana kukanyaga mafutaKama unao wito wa kweli kutoka kwa Mungu utashauriwa na Mungu mwenyewe kupitia Roho Mtakatifu na sio wanadamu. Kifupi tu ni kwamba unataka kujitafutia riziki yako kupitia shida za watu.
Na kweli unavutiwa na Mwamposa hata baada ya yaliyotokea chini ya “huduma” yake?
Sihitaji kuwa nabii ila nataka kiwaokoa watu wanaolazimika kuuana tena kwa kukanyaga na kugombea mafuta ya korieMkuu manabiitulionao wanatosha aisee.