Nipo kiti cha mbele Namimi kupata elimuNilipewa elimu kuwa ukitaka kupunguza gharama ya matumizi ya gari basi ni vema ukaibadili na iweze kutumia mfumo wa gesi. Nikaelezwa kuwa ukijaza gesi ya Tshs. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200. Nimefanya mahesabu kati ya matumizi ya mafuta na kila kukicha bei yake inapanda na gesi nikaona kuwa afadhali nibadili mfumo wa gari langu ili itumie gesi. Nimeelezwa kubadili mfumo mzima wa gari kutoka kwenye matumizi ya mafuta na kwenda kwenye gesi itanigharimu Tshs.1.5 millioni. Mimi ninakaa Mwanza je utaratibu huu una faida?. Je nitapata fundi hapa Mwanza wa kubadili mfumo huo?.
auze atafte ya mfumo huoUsibadili mfumo wa gari yako. Ni vizuri kama una salio, ununue gari iliyotengenezwa kutumia mfumo wa gesi toka kiwandani
Mi naona kubadilisha mfumo kunaweza kuharibu ufanisi wa chomboauze atafte ya mfumo huo
muhimi mafisi ya tozo yashasikia yatahamia huko sijui atafanyaje
kwani utazikwa nalo babu!? lakini Gesi ni natural haiharibu engine na ni bei chee! badala ya 100,000 petrol unatumia 40,000 kwa gesiMi naona kubadilisha mfumo kunaweza kuharibu ufanisi wa chombo
Ni sawa na kubadili injini ya cc4800 na kuweka ya cc 2000; Aliyebuni kiwandani hakukosea kuweka hiyo injinikwani utazikwa nalo babu!? lakini Gesi ni natural haiharibu engine na ni bei chee! badala ya 100,000 petrol unatumia 40,000 kwa gesi
hujakosea mkuuMi naona kubadilisha mfumo kunaweza kuharibu ufanisi wa chombo
Mbona watu wanafunga sana tu, hakuna athari zozote. After all una sweitch tu, ukitaka wese..ukitaka gas!hujakosea mkuu
ni kweli ataharbu
aanze kupigana vikumbo na sie mwendokasi
mie natumia gesi mwaka wa 3 huu nadunda tu! waulize UBER na BOLT utafurahNi sawa na kubadili injini ya cc4800 na kuweka ya cc 2000; Aliyebuni kiwandani hakukosea kuweka hiyo injini
Point ya kufungulia mwakaUsibadili mfumo wa gari yako. Ni vizuri kama una salio, ununue gari iliyotengenezwa kutumia mfumo wa gesi toka kiwandani
Ukifunga gesi jiandae gari kupoteza nguvu kwa 40%Nilipewa elimu kuwa ukitaka kupunguza gharama ya matumizi ya gari basi ni vema ukaibadili na iweze kutumia mfumo wa gesi. Nikaelezwa kuwa ukijaza gesi ya Tshs. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200.
Nimefanya mahesabu kati ya matumizi ya mafuta na kila kukicha bei yake inapanda na gesi nikaona kuwa afadhali nibadili mfumo wa gari langu ili itumie gesi.
Nimeelezwa kubadili mfumo mzima wa gari kutoka kwenye matumizi ya mafuta na kwenda kwenye gesi itanigharimu Tshs.1.5 millioni.
Mimi ninakaa Mwanza je utaratibu huu una faida?.
Je, nitapata fundi hapa Mwanza wa kubadili mfumo huo?.
hujui engine inavyofaya kaziNi sawa na kubadili injini ya cc4800 na kuweka ya cc 2000; Aliyebuni kiwandani hakukosea kuweka hiyo injini