Ushauri kuelekea Siku ya Mwananchi (Young Sport Club) mwaka huu wa 2020

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kwanza niseme wazi mimi Mr Zero IQ ni shabiki kindaki ndaki wa timu Kongwe sana hapa nchini "Young Africa ", kupitia yeye ndio ikazaa timu ya Sunderland na atimae ndio Simba Sc ya sasa ambao wamekuwa watani wetu wa jadi sio ndani tu ata nje ya Uwanja.

Ukitoa porojo za Ndugu @Gentamycin hapa jukwaani na zile za manara kule mtandaoni, Young Africa inabaki kuwa ndio timu pekee yenye historia kubwa ya Soka hapa nchini na barani Africa.

Ngoja niende direct kwenye dhumuni la mada yangu. Ni kwamba ningependa kutoa ushauri wangu kwa Viongozi Tukuka wa Club kongwe ya Young Africa(yanga) pamoja wasimamizi wa utengenezaji wa jezi za timu GSM,kuelekea siku ya mwananchi mwaka huu wa 2020.

Najua wazi siku hii pendwa ya wananchi ndio siku pekee inayokwenda sambamba kabisa na tukio Muhimu la kutambulisha Uzi mpya wa Timu pamoja na wachezaji wa msimu mpya wa 2020/2021.

Ushauri wangu ni mdogo tu na itapendeza zaidi kama utafika kwa viongozi tukuka wa club hii kongwe na kuujadili ni kwamba.

Siku hiyo pekee na muhimu kwa wananchi kusiwe na kiingilio chochote pale uwanja Wa mkapa isipokuwa wazalishaji na wasimamizi wa Jezi GSM Watengeneze Jezi za kutosha pea nyingi wawezavyo ili siku hiyo ya wananchi ikifika hizo jezi ndio ziwe kiingilio cha pale uwanja wa mkapa.

Hapa nitoe summery ni kwamba zitolewe bei elekezi za jezi kabisa kama ni 35K(elfu 35) per kit. Alafu GSM watengeneze duka(kituo kidogo cha kuamishika) pale getini kabisa ya uwanja. Shabiki akija ananunua Jezi anapewa risiti anafunguliwa geti anapita, yaani hiyo jezi ya msimu mpya wa yanga ndio iwe Gate pass yake, na kununuliwa kwake iwe ni pale getini tu.

Yanga ikifanya hivyo kwanza itauza jezi nyingi na kujipatia mapato kuliko ata mapato wanayotegemea kupata kwenye kiingilio,
Pili serikari itapata kodi yake stahiki kutokana na kila jezi itakayouza inatolewa risiti.

Tatu itafanya siku hiyo pendwa ionekane ni siku ya tofauti na ya kupendeza zaidi huku majukwaani ikipambwa na jezi nzuri za timu ya wananchi Yanga.

Nne na mwisho ni kwamba itasaidia sana kuzitangaza jezi hizo mpya za timu ya wananchi Young Africa msimu huu wa 2020/2021.

Asanteni
 
Wenye Yanga yenu hata uwanjani hamuendi viingilio vikiwa tshs 3000/= hadi 5000/= jukwaa la mzunguko, sasa hapo kwenye jezi ambayo inauzwa kima cha chini tshs 10,000/= walahi wataingia watu 8 uwanjani. Bora ubaki utaratibu wa viingilio vya kawaida mnaweza pata angalau wapenzi watazamaji mia tatu ishirini.
Ni hayo tu wananchi.
 
Hiyo siku ni pendwa sana kwa wananchi nakuakikishia wakipromote vyema hiyo siku basi jua jezi zitauzwa zote na wengine watakosa
 
Kwa sasa timu imekosa mashiko miiongoni mwa washabiki wengi, inahitaji timu ianze vizuri msimu ujao hapo hata ukifanya promotions inakuwa inajiuza vilivyo. Ubabaishaji kutoka kwenye uongozi umeifanya timu ipungue mvuto, nionavyo mimi kwa nia njema bora utaratibu wa viingilio uendelee kwa mwaka huu tena.
 
Kwahiyo style mzee mwenzangu zero iq hapo itakuwa hasara kwa yanga

Hivi unajua jezi za GSM za yanga zinazouzwa elf 35 kila jezi hapo yanga anapata 1500 tu

Wakitumia hiyo style gharama za uwanja atalipa nani?

Kodi ya serikali atalipa nani?

Unakumbuka msala wa Manji na serikali kisa mechi ya yanga na tp mazembe?
 
Kwanza niseme wazi mimi Mr Zero IQ ni shabiki kindaki ndaki wa timu Kongwe sana hapa nchini "Young Africa ", kupitia yeye ndio ikazaa timu ya Sunderland na atimae ndio Simba Sc ya sasa ambao wamekuwa watani wetu wa jadi sio ndani tu ata nje ya Uwanja.

Ukitoa porojo za Ndugu @Gentamycin hapa jukwaani na zile za manara kule mtandaoni, Young Africa inabaki kuwa ndio timu pekee yenye historia kubwa ya Soka hapa nchini na barani Africa.

Ngoja niende direct kwenye dhumuni la mada yangu. Ni kwamba ningependa kutoa ushauri wangu kwa Viongozi Tukuka wa Club kongwe ya Young Africa(yanga) pamoja wasimamizi wa utengenezaji wa jezi za timu GSM,kuelekea siku ya mwananchi mwaka huu wa 2020.

Najua wazi siku hii pendwa ya wananchi ndio siku pekee inayokwenda sambamba kabisa na tukio Muhimu la kutambulisha Uzi mpya wa Timu pamoja na wachezaji wa msimu mpya wa 2020/2021.

Ushauri wangu ni mdogo tu na itapendeza zaidi kama utafika kwa viongozi tukuka wa club hii kongwe na kuujadili ni kwamba.

Siku hiyo pekee na muhimu kwa wananchi kusiwe na kiingilio chochote pale uwanja Wa mkapa isipokuwa wazalishaji na wasimamizi wa Jezi GSM Watengeneze Jezi za kutosha pea nyingi wawezavyo ili siku hiyo ya wananchi ikifika hizo jezi ndio ziwe kiingilio cha pale uwanja wa mkapa.

Hapa nitoe summery ni kwamba zitolewe bei elekezi za jezi kabisa kama ni 35K(elfu 35) per kit. Alafu GSM watengeneze duka(kituo kidogo cha kuamishika) pale getini kabisa ya uwanja. Shabiki akija ananunua Jezi anapewa risiti anafunguliwa geti anapita, yaani hiyo jezi ya msimu mpya wa yanga ndio iwe Gate pass yake, na kununuliwa kwake iwe ni pale getini tu.

Yanga ikifanya hivyo kwanza itauza jezi nyingi na kujipatia mapato kuliko ata mapato wanayotegemea kupata kwenye kiingilio,
Pili serikari itapata kodi yake stahiki kutokana na kila jezi itakayouza inatolewa risiti.

Tatu itafanya siku hiyo pendwa ionekane ni siku ya tofauti na ya kupendeza zaidi huku majukwaani ikipambwa na jezi nzuri za timu ya wananchi Yanga.

Nne na mwisho ni kwamba itasaidia sana kuzitangaza jezi hizo mpya za timu ya wananchi Young Africa msimu huu wa 2020/2021.

Asanteni
Yaani UTOPOLO atoe 35k kabsa kuingia uwanjani??? Yayaa geteeee! Utajikuta upo mwenyewe uwanjani.
 
Kwahiyo style mzee mwenzangu zero iq hapo itakuwa hasara kwa yanga

Hivi unajua jezi za GSM za yanga zinazouzwa elf 35 kila jezi hapo yanga anapata 1500 tu

Wakitumia hiyo style gharama za uwanja atalipa nani?

Kodi ya serikali atalipa nani?

Unakumbuka msala wa Manji na serikali kisa mechi ya yanga na tp mazembe?
Kweli aliyewapa jina la UTOPOLO ni nabii wa kweli, buku Jero??
 
Kwanza niseme wazi mimi Mr Zero IQ ni shabiki kindaki ndaki wa timu Kongwe sana hapa nchini "Young Africa ", kupitia yeye ndio ikazaa timu ya Sunderland na atimae ndio Simba Sc ya sasa ambao wamekuwa watani wetu wa jadi sio ndani tu ata nje ya Uwanja.

Ukitoa porojo za Ndugu @Gentamycin hapa jukwaani na zile za manara kule mtandaoni, Young Africa inabaki kuwa ndio timu pekee yenye historia kubwa ya Soka hapa nchini na barani Africa.

Ngoja niende direct kwenye dhumuni la mada yangu. Ni kwamba ningependa kutoa ushauri wangu kwa Viongozi Tukuka wa Club kongwe ya Young Africa(yanga) pamoja wasimamizi wa utengenezaji wa jezi za timu GSM,kuelekea siku ya mwananchi mwaka huu wa 2020.

Najua wazi siku hii pendwa ya wananchi ndio siku pekee inayokwenda sambamba kabisa na tukio Muhimu la kutambulisha Uzi mpya wa Timu pamoja na wachezaji wa msimu mpya wa 2020/2021.

Ushauri wangu ni mdogo tu na itapendeza zaidi kama utafika kwa viongozi tukuka wa club hii kongwe na kuujadili ni kwamba.

Siku hiyo pekee na muhimu kwa wananchi kusiwe na kiingilio chochote pale uwanja Wa mkapa isipokuwa wazalishaji na wasimamizi wa Jezi GSM Watengeneze Jezi za kutosha pea nyingi wawezavyo ili siku hiyo ya wananchi ikifika hizo jezi ndio ziwe kiingilio cha pale uwanja wa mkapa.

Hapa nitoe summery ni kwamba zitolewe bei elekezi za jezi kabisa kama ni 35K(elfu 35) per kit. Alafu GSM watengeneze duka(kituo kidogo cha kuamishika) pale getini kabisa ya uwanja. Shabiki akija ananunua Jezi anapewa risiti anafunguliwa geti anapita, yaani hiyo jezi ya msimu mpya wa yanga ndio iwe Gate pass yake, na kununuliwa kwake iwe ni pale getini tu.

Yanga ikifanya hivyo kwanza itauza jezi nyingi na kujipatia mapato kuliko ata mapato wanayotegemea kupata kwenye kiingilio,
Pili serikari itapata kodi yake stahiki kutokana na kila jezi itakayouza inatolewa risiti.

Tatu itafanya siku hiyo pendwa ionekane ni siku ya tofauti na ya kupendeza zaidi huku majukwaani ikipambwa na jezi nzuri za timu ya wananchi Yanga.

Nne na mwisho ni kwamba itasaidia sana kuzitangaza jezi hizo mpya za timu ya wananchi Young Africa msimu huu wa 2020/2021.

Asanteni
Serikari ndio nini? [emoji196][emoji196]

Tusifokeane
gorilla-voice-1_1024.jpg
 
Hawa mikia vipi hii habari inawahusu timu ya wananchi yenyewe inarukia tu kweli Rage kuwaita mbumbumbu hajukosea
 
Back
Top Bottom