Ushauri: Kuendelea na masomo au kwenda Jeshini?

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
861
Reaction score
1,547
Habari Wadau wa jukwaa la Elimu

Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?

Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa hofu ya kukosa ajira baadae akimaliza masomo yake so ana personal conflict

Mnamshauri vipi aahirishe mwaka akale Kozi au aendelee na Chuo tu.
 
Nakushauri nenda jeshi then hukohuko unawezaj jiendeleza na elimu
 
Habari Wadau wa jukwaa la Elimu

Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?

Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa hofu ya kukosa ajira baadae akimaliza masomo yake so ana personal conflict

Mnamshauri vipi aahirishe mwaka akale Kozi au aendelee na Chuo tu.
Sasa kama hana mapenzi na jeshi kwa nini aende kwenye kifungo kisa tu ajira. Ni muhimu mtu afanye kitu anachopenda.
 
Habari Wadau wa jukwaa la Elimu

Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?

Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa hofu ya kukosa ajira baadae akimaliza masomo yake so ana personal conflict

Mnamshauri vipi aahirishe mwaka akale Kozi au aendelee na Chuo tu.
Anauliza nini Tena huyu mbona so lazima kwenda chuo kupostpon yeye asubiri tu kuzama chomboni chuo atasoma mbele uko yupo wapi nimzabe ata vibao viwili ushauri gani mwingine anataka
 
Muelewe hoja yake sio kuahirisha chuo, hoja yake ni hana mvuto na kazi ya jeshi na ni muhimu mtu afanye kazi anayo ipenda kwa usalama wa afya yake ya akili.
 
Back
Top Bottom