Nakushauri nenda jeshi then hukohuko unawezaj jiendeleza na elimuHabari Wadau wa jukwaa la Elimu
Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?
Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa hofu ya kukosa ajira baadae akimaliza masomo yake so ana personal conflict
Mnamshauri vipi aahirishe mwaka akale Kozi au aendelee na Chuo tu.
Sasa kama hana mapenzi na jeshi kwa nini aende kwenye kifungo kisa tu ajira. Ni muhimu mtu afanye kitu anachopenda.Habari Wadau wa jukwaa la Elimu
Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?
Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa hofu ya kukosa ajira baadae akimaliza masomo yake so ana personal conflict
Mnamshauri vipi aahirishe mwaka akale Kozi au aendelee na Chuo tu.
Ahaaa haaa kwani umelazimishwa kuzifanya?Hata sisi kazi tunazozifanya hatuzipendi!.
Aende jeshi
Acha kufanya kazi uone kama hujaomba maji na ukanyimwa😃😃Ahaaa haaa kwani umelazimishwa kuzifanya?
Anauliza nini Tena huyu mbona so lazima kwenda chuo kupostpon yeye asubiri tu kuzama chomboni chuo atasoma mbele uko yupo wapi nimzabe ata vibao viwili ushauri gani mwingine anatakaHabari Wadau wa jukwaa la Elimu
Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?
Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone masomo yake lakini yeye bado yuko dilemma kwa sababu hana mapenzi na Majeshi ila anataka aende kwa hofu ya kukosa ajira baadae akimaliza masomo yake so ana personal conflict
Mnamshauri vipi aahirishe mwaka akale Kozi au aendelee na Chuo tu.
Muelewe hoja yake sio kuahirisha chuo, hoja yake ni hana mvuto na kazi ya jeshi na ni muhimu mtu afanye kazi anayo ipenda kwa usalama wa afya yake ya akili.Anauliza nini Tena huyu mbona so lazima kwenda chuo kupostpon yeye asubiri tu kuzama chomboni chuo atasoma mbele uko yupo wapi nimzabe ata vibao viwili ushauri gani mwingine anataka
Huwendi kuchukua tu maokoto kuna wajibu lazima atimize.Kachukue maokoto ww elimu ipo tu tena siku hizi Kuna Open