USHAURI KUFUGA KITIMOTOs

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
185
WADAU NAOMBA USHAURI JUU YA MBEGU BORA YA MNYAMA PENDWA KITUMOTO NA RATION ZA CHAKULA NA BAJETI,NATAKA KUANZA NA NGURUWE WAWILI WA KIKE AMBAO WANAKARIBIA KUPANDISHWA

heshima kwenu
 
Kuna mbegu wanaiita mbegu ndefu. Hao wanazaa watoto 12+
Chukula ni pumba, mashudu, majani, mabaki ya chakula,... Pretty much anything you can think.
Unafugia wapi?
 
have the same idea ndugu...kama vipi tuchekiane zaidi kwa ideas...kwangu mm challenge ni harufu!..
 
Nimejaribu sana kupiga mahesabu juu ya ufugaji wa nguruwe ukweli ni kwamba ukipiga hesabu amekula kilo ngapi za chakula hadi unamuuza ni hasara tupu
 
Kuna mbegu wanaiita mbegu ndefu. Hao wanazaa watoto 12+
Chukula ni pumba, mashudu, majani, mabaki ya chakula,... Pretty much anything you can think.
Unafugia wapi?

*****, asante kwa taarifa.
Hao warefu nitawapata wapi?
Mmoja bei gani (nataka ambao wana mimba kabisa)
Wanachukua muda gani kufikia kuuzwa? (Yaani kuanzia kuzaliwa hadi kufikia kuwa marketable)
Biashara yake ikoje Dar?
Soko liko wapi?
Wanauzwa baada ya kuchinjwa kwa kilo na kilo moja sh. ngapi?
Kama ni mzima, mmoja anauzwaje (anapimwa) au anuzwa bila kupimwa na ni sh. ngapi?

ASANTENI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…