Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so accng ndio wigo wa ajira ni mkubwa hata kama huna godfather,
Ushauri kw wote.
Unapotak kusoma corse jaribu kuangalia Matokeo ya iyo corse Miaka mitatu kutoka sasa mtakuwa Wangapi Sokoni.ACCOUNTING imekuwa ndo corse ya kukimbilia.takriban kila chuo ki a degree ya Account sasa.pia jaribu Kuangalia Corse inayoweza kukupa Uwezo wa kujiajiri na si kuajiliwa tu.
Mi kwa mtazamo wangu Sikushauri Uchukue Accounting ndugu yangu.
Ndugu naomba ushauri wenu kidogo, kati ya hizo course mbili ipi ina soko kubwa la ajira kwa sasa?
Suala la ajira siku hizi ni kujuana tu. Hakuna course itakayo kuwa na ajira kama huna mtu wa kukushika mkono.