Ushauri kuhusu Alteza

Unanunuaje Altezza 2022? Gari zifuatazo sio za kununua kwa Sasa
  • Nadia
  • Ipsum
  • Gaia
  • Altezza
  • Verossa
  • Starlet
  • GX 100
  • Vista
  • Carina
  • Grandis
  • Cami
  • Funcargo
  • Spacio Old

Ukiona mtu ananunua hizo gari Leo hii basi jua ni mshamba wa magari aliyepitiliza na hajui kitu
 
Shukran mkuu
 
Gari Gani za kununua kwa Sasa ?
 
Masikini hadi jeneza utawajua tu milipuko ya kifedhuli
 
Kwnn??
 

nai humu

Source: 1

Source: 2

Source: 3

Source: 4

Source: 5

Source: 6
 
Kama pesa haitoshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…