Ushauri:kuhusu Altteza gita.

Ushauri:kuhusu Altteza gita.

Ibase

Member
Joined
Apr 7, 2019
Posts
26
Reaction score
33
Alteza gita ,engine 2jz-gte.twin turbo vvti.Anavutiwa nayo,lkn kabla ya kufanya uamuzi kumiliki ushauri wa wadau ni muhimu kwake.
Ulaji mafuta upoje.
Upatikanaji wa spea.
Matatizo ya ujumla ya aina hiyo.
NATANGULIZA SHUKRANI.Ili ajue ubora na changamoto za chaguo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayetaka kununua machine yenye 2jz-gte twin turbo huyo hatakiwi kujua masuala ya Mafuta maana hio ni gari ya performance.

We mwambie tu kwny mambio hapo ndio nyumbani na wese inabugia kama kawa,ni ndege ya ardhini hio
Alteza gita ,engine 2jz-gte.twin turbo vvti.Anavutiwa nayo,lkn kabla ya kufanya uamuzi kumiliki ushauri wa wadau ni muhimu kwake.
Ulaji mafuta upoje.
Upatikanaji wa spea.
Matatizo ya ujumla ya aina hiyo.
NATANGULIZA SHUKRANI.Ili ajue ubora na changamoto za chaguo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spea zimekaaje ,ajue hili pia

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usiwahi kununua gari kwa kuuliza spea dunia imekuwa kijiji spare yoyote unaipata hata ikiwa wapi.Niliwahi kuwa na alteza four.Ilikata timing belt ndo ugonjwa ulionisumbua nikaamua kuiuza kabisa.ila ziko vizuri na kama wewe ni kijana kati ya 20-34 utafurahi sana.Ila kaa ukijua bei ya altezaa ni sawa na bei ya Landrover free lander na sawa na brevis
 
Noted mdau atanufaika na msaada asante

Back
Top Bottom