Alteza gita ,engine 2jz-gte.twin turbo vvti.Anavutiwa nayo,lkn kabla ya kufanya uamuzi kumiliki ushauri wa wadau ni muhimu kwake.
Ulaji mafuta upoje.
Upatikanaji wa spea.
Matatizo ya ujumla ya aina hiyo.
NATANGULIZA SHUKRANI.Ili ajue ubora na changamoto za chaguo hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lita 1 ni km ngapi ,makadirio mdauMtu anayetaka kununua machine yenye 2jz-gte twin turbo huyo hatakiwi kujua masuala ya Mafuta maana hio ni gari ya performance.
We mwambie tu kwny mambio hapo ndio nyumbani na wese inabugia kama kawa,ni ndege ya ardhini hio
Sent using Jamii Forums mobile app
8-12
Analipendaje gari refukma la kubebea maiti
Analipendaje gari refukma la kubebea maiti
Gitta siipendi kile kisogo chake lkn kitu iwe ni ya 2jz-gte twin turbo aisee siwezi kuiacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usiwahi kununua gari kwa kuuliza spea dunia imekuwa kijiji spare yoyote unaipata hata ikiwa wapi.Niliwahi kuwa na alteza four.Ilikata timing belt ndo ugonjwa ulionisumbua nikaamua kuiuza kabisa.ila ziko vizuri na kama wewe ni kijana kati ya 20-34 utafurahi sana.Ila kaa ukijua bei ya altezaa ni sawa na bei ya Landrover free lander na sawa na brevis

Hio ni nyoko asijiulize mara mbili mbili mkuu achukue chuma fasta tu,yaani kama ni mpenda ma mbio hapo ndio nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua less than that,kama hizi 1g-fe tu zina consumption ya 1litre inaenda kwa 7 to 8km sembuse hii machine.,ajiandae kwa consumption.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika nitamshauri aje huku jf apate maujuzi mengiGita hua iko chini,wengine wanaweka spencer lkn kiujumla hio gari sio rafiki kabisaa na barabara za hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio labda upo safari ndefu ile ni 2.4Cc Turbo inakula 7_98-12
Cc 3000 hio kiongozi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio labda upo safari ndefu ile ni 2.4Cc Turbo inakula 7_9
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu,kuna jamaa humu jf wanaitwa Extrovert Rugambwa yt Jimmy gabby wanaweza wakaielezea vzr hio machine.