Ushauri kuhusu Bachelor of Pharmacy na Master of Chemistry

HEARTZ

Senior Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
111
Reaction score
80
Habarini wanajamii,

Naomba kufahamishwa kwa mtu mwenye bachelor of pharmacy na master of chemistry specialized in environmental chemistry soko lake lipo vipi hapa nchin Tanzania.
 
Siku hizi hela yako tu unapata PhD swafii
 
Kwa mawazo yangu tu, at least ungekuwa umefanya Msc in Chemistry ukibase kwenye Analytical Chemistry ingeendana na hiyo bpharm, kwenye analysis hususan za dawa na cosmetics
 
asante,naomba nikufuate inbox mkuu
 
Back
Top Bottom