Miongoni mwa kozi zinazooneka kinara katika Sekta ya Afya ni hizi kozi mbili, Doctor of Medicine(MD) na Bachelor of Pharmacy(BPharm) Je ni ipi kozi bora kuliko nyingine? Kwa nini? Je ni ipi kozi ngumu kuliko nyingine? Kwa nini? Je hizi kozi zinategemeana? Yaani mfano Daktari na Mfamasia...