Kandamiza kwa kidole maada yako watakuletea kivuli kwenye mada na sehemu ya juu watakuwekea kama penseli bonyeza pale halafu ndo ndo utaletewa mwendelezo wa kuandika wa ujumbe wako!!!Mtaji ni milioni 3 sio laki 3 wapendwa ila nimejaribu ku edit title nimeshindwa