Umekosea hesabu rudia tena.Biashara pasua kichwa hiyo ni sawa na kujaza maji kwenye tenga.
Ipo hivi pikipiki aina ya boxer inauzwa mil 2.8, hesabu ya siku unaletewa elfu 10 na mkataba kwa kawaida ni miezi 13..ukiwa unaletewa kila siku elfu 10 kwa mwezi utakuwa umeingiza laki 3,laki 3*13=3900000
3900000-2800000=1100000
Faida kwa mwaka mzima unapata mil 1.1
1100000÷30=36660....
Unatoa mil 2.8 mfukoni halafu kwa mwezi faida unaingiza elfu 36 kama sio utahaira ni nini ? Na mwisho wa siku pikipiki inakuwa sio yako tena
Tupe hesabu zako...zilizo sahihi.Umekosea hesabu rudia tena.
Sasa kipi bora, kuwapa vijana wakuletee elfu tano au elfu sita kwa siku. Bodaboda iendelee kuwa yako na matengenezo yote juu yako au hii ya mkataba matengenezo yote juu yake.???Biashara pasua kichwa hiyo ni sawa na kujaza maji kwenye tenga.
Ipo hivi pikipiki aina ya boxer inauzwa mil 2.8, hesabu ya siku unaletewa elfu 10 na mkataba kwa kawaida ni miezi 13..ukiwa unaletewa kila siku elfu 10 kwa mwezi utakuwa umeingiza laki 3,laki 3*13=3900000
3900000-2800000=1100000
Faida kwa mwaka mzima unapata mil 1.1
1100000÷13=84615...
Unatoa mil 2.8 mfukoni halafu kwa mwezi faida unaingiza elfu 84615 kama sio utahaira ni nini ? Na mwisho wa siku pikipiki inakuwa sio yako tena
NB:hapo Bado haujapewa taarifa ya kuibiwa pikipiki, service ikiwa kubwa ni juu ya boss
AiseNunua bajaji hiz boda boda usalama wake ni mdogo sana wizi wake ni kugusa tu ushalizwa
Nadhani ni vizuri kutoa mkataba kwa ajili ya usalama au wewe waonaje?Kwani ni lazma uwape mikataba?
Wengine sio uvivu huenda hawashauriwi kufanya kazi hiyo kutokana na matatizo ya kiafyaHizo ni biashara za watu wavivu vinginevyo watu wenye vyanzo vingi vya mapato wanaamua kudiversify kupunguza risk.
Kwahiyo mkuu unashauri mtu Kama umeamua kununua bodaboda uingie mzigoni mwenyewe au siyo?!!Hii biashara mnufaika mkuu ni dereva.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mimi niliwaambia hesabu 8000 kwa siku haina mwaka haina wala nini na chombo lazima kwa nyumba....
chombo zote zina GPC iba nakusomea albadir....
Sawa ni nununue daladala alafu baada ya miaka kadhaa Bus ya dereva huu utani kwetu hamna kabisa.