Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

Insightful.....naomba tuwasiliane Pm bwn LYNCH
 
Mara afanye vinywaji mara afanye pembejeo za kilimo
 
Hii biashara mwenyewe Niko hatua za mwisho kuianza
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
 
Mimi nina Creti za bia na cocacola pia Pepsi nauza nipo Dar es salaam kama unaitaji njoo inbox
 
Safi

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo huyo si ndiyo mmiliki wa hiyo biashara? Ubia unatoka wapi tena wakati gharama zote amelipa yeye?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…