Ushauri kuhusu biashara ya mifuko ya plastics

Kiazi Kitamu

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
122
Reaction score
126
Asaalam wanabodi,

Nakuja kwenu tena nikiomba ushauri kwa yoyote anayejua/ mwenye uzoefu juu ya biashara ya Uuzaji wa mifuko ya Plastics inayotumika katika maeneo mengi ya biashara kama Mabucha, Maduka ya rejareja, Sokoni n.k kwa ajili ya kubebea bidhaa mbalimbali.
Kwa yoyote anayefahamu nataka kufahamu yafuatayo:-
  1. Upatikanaji wake(Wauzaji wa Jumla eneo walipo)
  2. Aina ya mifuko husika(Size & Ubora)
  3. Bei ya kuuzia
  4. N.k
Mimi niko Arusha, nimeona ni fursa iliyopo nje nje. Asanteni sanaaaaaa
Nahitaji msaada wa Wapi naweza kupata Mifuko ya Mazao ya plastic nitayonunua kwa jumla.. Bei ya kiwandani..anaejua plizz kwa maeneo ya Dar
 
Maswali yangu ni kuwa
1.dozen ya mifuko ile black wanayotumia kufungia
chips inauzwa bei gani hasa kwa dar?
2. dozen ya mifuko ile myeupe midogo (5×7 au
7×12)
3.Pia mifuko ya Rambo ile mikubwa njano/blue/
black yenye uwezo wa kubeba kilo tatu sehemu
sehemu nyingi inauzwa 200
mwenye ufahamu na hiyo biashara anijuze maana huku niliko ni bidhaa adimu sana
 
Asaalam wanabodi,

Nakuja kwenu tena nikiomba ushauri kwa yoyote anayejua/ mwenye uzoefu juu ya biashara ya Uuzaji wa mifuko ya Plastics inayotumika katika maeneo mengi ya biashara kama Mabucha, Maduka ya rejareja, Sokoni n.k kwa ajili ya kubebea bidhaa mbalimbali.
Kwa yoyote anayefahamu nataka kufahamu yafuatayo:-
  1. Upatikanaji wake(Wauzaji wa Jumla eneo walipo)
  2. Aina ya mifuko husika(Size & Ubora)
  3. Bei ya kuuzia
  4. N.k
Mimi niko Arusha, nimeona ni fursa iliyopo nje nje. Asanteni sanaaaaaa
Nahitaji msaada wa Wapi naweza kupata Mifuko ya Mazao ya plastic nitayonunua kwa jumla.. Bei ya kiwandani..anaejua plizz kwa maeneo ya Dar
Nenda kariakoo soko dogo kuna wauzaji wa hizo rambo jumla jumla. Huku kwetu mkoani tunajumlisha 80,000/ zinakuwa rambo za sh 50 zile ndogo ndogo ambazo unaweza uza jumla sh 1000 kimfuko chenye rambo 20 hivyo faida n sh 20,000/
 
Na zile za sh 100 nazo bei n hyo hyo
 
Hapa pana nifaa sana, hii fursa naiona itanifaa uku mitaan kwetu.
Mifuko ya Rambo ni shida kwelikweli
 
Back
Top Bottom