Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 468
- 619
Habari za leo wakuu,kwa wenyeji wa biashara ya nguo kutoka katika mabelo naomba maelezo kuhusu faida na hasara zake na wapi yanapatikana mabelo ya nguo nzuri kwa Dodoma na bei zake kwa ujumla.
Bila kusahau kuniambia nguo zipi zinatoka sana,nataka nifanyie hii biashara katika mnada wa sabasaba hali itakapotulia.
Natanguliza shukrani wakuu🙏🙏
Bila kusahau kuniambia nguo zipi zinatoka sana,nataka nifanyie hii biashara katika mnada wa sabasaba hali itakapotulia.
Natanguliza shukrani wakuu🙏🙏