Ushauri kuhusu biashara ya nguo kutoka katika mabelo

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
468
Reaction score
619
Habari za leo wakuu,kwa wenyeji wa biashara ya nguo kutoka katika mabelo naomba maelezo kuhusu faida na hasara zake na wapi yanapatikana mabelo ya nguo nzuri kwa Dodoma na bei zake kwa ujumla.

Bila kusahau kuniambia nguo zipi zinatoka sana,nataka nifanyie hii biashara katika mnada wa sabasaba hali itakapotulia.

Natanguliza shukrani wakuu🙏🙏
 
Sina uzoefu ila kwa aina ya nguo, za watoto na wanawake hazitakulaza njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…