Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nini kimekushawishi utamani hiyo biashara sasa kwa huo mtaji ulio nao?Apan sijawai mkuu
Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.