Eizyek JF-Expert Member Joined Aug 12, 2019 Posts 800 Reaction score 2,773 Nov 8, 2019 #1 Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.
Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,001 Reaction score 23,449 Nov 8, 2019 #2 Ushawahi kufanya hiyo biashara?
Eizyek JF-Expert Member Joined Aug 12, 2019 Posts 800 Reaction score 2,773 Nov 8, 2019 Thread starter #3 CONTROLA said: Ushawahi kufanya hiyo biashara? Click to expand... Apan sijawai mkuu
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,001 Reaction score 23,449 Nov 8, 2019 #4 Eizyek said: Apan sijawai mkuu Click to expand... nini kimekushawishi utamani hiyo biashara sasa kwa huo mtaji ulio nao?
Eizyek said: Apan sijawai mkuu Click to expand... nini kimekushawishi utamani hiyo biashara sasa kwa huo mtaji ulio nao?
Zillion JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 1,378 Reaction score 1,866 Nov 9, 2019 #5 Swali lako ni too general mkuu, kuwa specific kidogo unataka kujua nini? Eizyek said: Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum. Click to expand...
Swali lako ni too general mkuu, kuwa specific kidogo unataka kujua nini? Eizyek said: Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum. Click to expand...
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,512 Reaction score 6,882 Nov 9, 2019 #6 Mkuu kama uko mbali na dar jaribu kuwauzia machinga jumla jumla cover,screen protecters,Bluetooth earphones na vinginevyo ndani ya miezi 6 hicho kimilion 10 kitakuwa doubled
Mkuu kama uko mbali na dar jaribu kuwauzia machinga jumla jumla cover,screen protecters,Bluetooth earphones na vinginevyo ndani ya miezi 6 hicho kimilion 10 kitakuwa doubled