Richman Morenje Member Joined Jul 15, 2013 Posts 19 Reaction score 5 Jul 20, 2020 #1 Hello wana JF. Mwenye kuwa na utaalamu/ujuzi kuhusu biashara ya spea za pikipiki anipatie maelezo au idea kidogo labda mtaji kama kiasi gani? Changamoto zake na faida zake.
Hello wana JF. Mwenye kuwa na utaalamu/ujuzi kuhusu biashara ya spea za pikipiki anipatie maelezo au idea kidogo labda mtaji kama kiasi gani? Changamoto zake na faida zake.