Habari zenu wakuu nimekuja kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji kwenda bondeni kujaribu biashara yangu ya viatu vya kimasai naomba kujua ni gharama gani niandae halafu ni utaratibu upi niufuate ili niweze kufikisha mzigo wangu mpaka south afrika bila tabu wala buguza nataka nifate taratibu zote za kisheria za kufanya biashara huko pia ningependa kujua ni location ipi ni nzuri kwa biashara hii ninaweza kuuza kwa faida.
NAWASILISHA HOJA
ASANTENI SANA
NAWASILISHA HOJA
ASANTENI SANA