Ushauri kuhusu course ya radiology

Joined
Dec 6, 2016
Posts
41
Reaction score
24
Kama kuna mtu anayeijua course ya radiology vizuri, faida zake na hasara, je ni nzuri kwa kusoma.
 
Unachosema ni kweli maana mionz yake ni hatar sana
 
Sasa wew ushashauriwa kua iyo INA athqri ya mionz ukasomee ya nn ebu tafuta fan nyingine ili kulinda afya yako hiyo hata field tu haifai
 
Ni course ambayo dgree yake inatolewa muhas peke yake tz nzima na diploma yake muhas na bugando only.
diploma ni diagnostic radiography na inatolewa muhas na bugando na degree hamna tanzania...na hio degree ni radiation therapy technology ipo muhas wao wanatibu kwa kutumia mionzi..na ni course nzuri sana kwa diploma utafanya ultrasound na xray inategemea utaajiriwa kitengo gani...ajira zake bado zipo kibao kama unaweza kasome usiogope
 
Aliekwambia Radiology anasoma mionzi nani?
 
Nadhani mnachanganya mambo
Radiology ni masters ambayo anaweza kusoma mtu aliesoma MD na akawa specilist wa kutasfiri Radiology images

Radiology images zinatolewa na Radiology technicians au Radiographers ambayo kwa Tanzania kuna diploma tu

Radiography ni course nzuri na sio kweli una deal na mionzi direct,kwenye mionzi wew ni exposer tu na wala hauwi kwenye examination room
By the way teknolojia inakimbia sana hivyo radiographers wanazid kuwa watu muhimu na risk zinazid kupungua
 
Wakuu :
Uwanja wa ajira kuhusu hii course upoje??
 
Na mtu anaye takiwa kusoma diploma anatawa kua na ufaulu gani o level
 
A
Ada ni kiasi gani kwa muhas na cuhas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…