Ushauri kuhusu cryptocurrency

Very poor

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
379
Reaction score
574
Habar wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2

Naombeni ushauri, na mapendekezo please!!!

Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri wanakuja ila hilo jina lako mkuu mbona haliendani na hayo mambo yakizungu😂😂
Au ndo kusema mchagua jembe si mkulima!
 
Habar wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2

Naombeni ushauri, na mapendekezo please!!!

Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2

Naombeni ushauri, na mapendekezo please!!!

Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inabidi ufanye analysis,----DYOR kwa makini sana
 
Mm natumia moja hy inaitwa coinssp, mtaji ni 128$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…