Ushauri kuhusu deed poll

Ushauri kuhusu deed poll

She is Aisha

New Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu nilikuwa naomba ushauri mm binafsi wakati namaliza shule ya msingi nilichukuliwa na kaka angu ambae anamuita baba yangu bamdogo, ilikuwa ni shule ya kulipia huko Mlalo Lushoto lakini sikuanza form one na kaka alipendekeza nianze form two kwasababu nina akili sana na mm nikaanza

Lakn wakati wa usajili mwezi wa 3, kaka aliniambia jina langu limekataliwa bass akanipa jina la mdogo wake tumbo moja naye anaitwa Aisha kama mm, nilikuja kutoelewana na kaka nilivyomaliza form four, mambo mengi yakatokea nikapambana mwenyewe mwaka jana nikamaliza form six na sikuanza chuo baba angu alikuwa anaumwa tulitumia pesa nyingi kumuuguza bahati mbaya mwaka huu akafariki.

Sasa nataka nianze chuo mwaka huu lakn kaka alishabadili majina yangu ya mwisho nataka niombe mkopo niambatanishe na cheti cha kifo cha baba lakn wasiwasi wangu je siwataona nimeghushi tuu kwani hata cheti cha kuzaliwa sijaandikisha bado maana sina...

Nimeshauriwa niandae deed poll itanisaidia kupata mkopo wa chuo kikuu??
 
Back
Top Bottom